Dr Simba JF-Expert Member Joined Apr 27, 2016 Posts 997 Reaction score 1,242 Apr 21, 2019 #1 Salaam wana JF.....kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza,nimesumbuka kwa muda mrefu sana juu ya tatizo hili la Ngozi la kijana wangu. Mwenye ufahamu jinsi ya kutibu tatizo hili au Dr ambaye anaweza akanisaidia.
Salaam wana JF.....kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza,nimesumbuka kwa muda mrefu sana juu ya tatizo hili la Ngozi la kijana wangu. Mwenye ufahamu jinsi ya kutibu tatizo hili au Dr ambaye anaweza akanisaidia.