We naweMtu akifa...Mimi nikifa...Mbitiyaza akifa...Troy akifa...Shune akifa...Mwanakijiji akifa...Muosha Rungu akifa...Miss natafuta akifa...Lady Jay akifa...Nifa siku ya kufa yake...Mshana siku ya kufa yake...no
Kwa nini huwa mnaomba ibada...tena ya heshima
carnte himself
ShindwaaaaaaaMasikini tunamuona demi kwenye jeneza...mnaniona Mimi...Mbitiyaza nawaona kwenye jeneza wakitabasamu kiroho ila sijui kama waliwekeza kiroho uwiii
carnte himself
Maana yangu...hivi tunajua kama tumeumbwa na MUNGU!!!Tufanye kila mtu amekufa, kilakitu kimekufa duniani wakabaki north Korea tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akifa...Mimi nikifa...Mbitiyaza akifa...Troy akifa...Shune akifa...Mwanakijiji akifa...Muosha Rungu akifa...Miss natafuta akifa...Lady Jay akifa...Nifa siku ya kufa yake...Mshana siku ya kufa yake...no
Kwa nini huwa mnaomba ibada...tena ya heshima
carnte himself
Ndiyo tumeijuaHahaha maana yangu mmeijua
carnte himself
[emoji1] [emoji1] [emoji1] polee, hutakufa bana mtoto mzuri. Sawa eeh.Shindwaaaaaaa