Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
hahaha nimecheka kwa sauti,sijapata reference ya msomi wengi wanajifanya wanatetea haki za machokoTatizo litaibuka hapo unapomtumia ChidBen kama refference
ahsanteNaunga mkono hoja hata Mungu alianza kumuumba kwanza Mwanaume
Wasomi waoga waoga sana, hawajiamini kwakua wametanguliza njaa mbele so ninkama hawana wanachosimamiahahaha nimecheka kwa sauti,sijapata reference ya msomi wengi wanajifanya wanatetea haki za machoko
Mwanzoni mwa miaka ya 70 kuna dhana nyingi zilianzishwa kitu ambacho kimepelekea kuleta vuguvugu la haki sawa kwa wote, mwanaume akisimama huku anakojoa mwanamke naye anataka kutumia mfumo huu, totally wrong.
Kuna effect nyingi mbaya zimeharibu utamaduni wa kidunia, uchumi na mambo mengine ambayo ukweli wa mambo sababu kuu ni kuanza haya mambo ya feminism.