Nimetapeliwa laki mbili

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaaaaaa., duh nusura nipaliwe. Ngoja Le akili Kubwazzzzz aje
 
Iphone kwanza huwezi ifungua kijinga jinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haha!

Eti "le akili kubwaz" kweli kama wewe le akili kubwaz a.k.a mingi unafanyiwa hivyo je sie akili ndogoz?

Haha ila we jamaa umenichekesha sana hasa na hiyo Avatar yako looh! sikutegemea kucheka kiasi hichi mkuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji23]
 
Taratibu utaomba akupe na anachompa mkewe, kina James delicious walianza kiutani hivi hivi.
James delicious na dume suruali ni viumbe viwili tofauti broo! Mmoja ni herbivorous na mwingine(Mimi) ni omnivorous ..!
Umeelewa hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…