Nimetapeliwa laki mbili

Mkuu umesababisha nicheke kwa nguvu mnoooo mpaka nimejisahau kuwa nadaiwa kodi ya nyumba hapa
 
We jamaa siyo kabisa kama mashati mawili yanatosha VP shuka lake ?
 
Shati linafunika passo
Hahaa
Juzi nilipata wazo mkuu..
JE WAJUA KWAMBA;
1)shati la le mutuz linaweza kutumika kutengenezea turubai? (Yakiwa mawili..)

2)T-shirt ya lemutuz inaweza ikatumika katika parking za magari kama protector kuzuia vumbi au hata kuzuia ndege kama kunguru wasiweze kulichafua gari lako pindi linapokuwa parking? Mfano gari Kama ist,Noah,Prado,BMW,Mercedes nk..

3)Shuka la le mutuz linaweza kutumika kufunika bodi la semi trela? Au likatumika Kama kapeti pale kwenye ukumbi wa diamond jubilee?

4)Je wajua hata bukta ya huyu kiumbe inaweza kutumika Kama chujio kwenye Mashine za kukobolea mpunga na mahindi?

JAMANI...!
Embu tuache utani ...Huyu mtu ni mgodi unaotembea coz kila kitu kwake ni DILI!
acha nijipendekeza kwa le mutuz mie..[emoji3]

_Dume Suruali_
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] hapo kweli ulifikiria aisee. Maana zile bukta zake ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…