dadamlamayao
JF-Expert Member
- Nov 1, 2022
- 243
- 841
Mm niliwai kuwa afsa ktk kampuni hyo yenye makao yake makuu jijin arusha viwanja vya themi njiro 8888Mysol zamani Mobisol mbona hawana shida? Anyway sijui sana
Uzi wako nimeupost ktk group la wasapuKama kichwa cha habari kinavyoeleza, nililipia Tsh.183,000 tarehe 3 Novemba mwaka huu kama malipo ya awali ili wanifungie Sola ya Watt 120 hapa nyumbani kwetu Simiyu.
Leo ni tarehe 5 Disemba maana yake zimeshapita siku 32 hawajaja kunifungia na jitihada za kuwaambia wanirudishie pesa yangu zimeshindikana. Nimeenda kuripoti Kituo cha Polisi wameniambia hiyo ni Kesi ya Madai na si Jinai, naomba msaada mwenye uzoefu na hii Kampuni.
Na pia nawatahadharisha Watanzania wenzangu hasa waliyo vijijini ambako umeme bado haujafika, wajihadhari na kuigopa kampuni hii kwani ni matapeli makubwa kama ilivyo Kalyanda tu.
NdioooMm niliwai kuwa afsa ktk kampuni hyo yenye makao yake makuu jijin arusha viwanja vya themi njiro 8888
Naifahamu kwa sababu niliwahi kuajiriwa hapo kama Loan Officer na baada ya miezi 9 wakanivunjia Mkataba,ni MATAPELI NA MAJIZI kwelikweli,na nikiwa kama Loan Officer nilikuwa napambana na malalamiko ya wateja wengi kutapeliwa na Wafanyakazi wa Kampuni pamoja na bidhaa za Kampuni KUWASUMBUA mara kwa mara,nilishawahi kupigwa fimbo na wateja wamasai fulani Katesh kule baada ya Sola KUWASUMBUA na kushindwa kupata huduma kwa mwezi mzima,hivyo hii ni KAMPUNI YA KITAPELI NA KIJAMBAZI kwelikweli ndio maana kila mwaka inabadilisha majina mara ijiite MOBISOL,mara mwakani ibadilike ijiite ENGIE,na sasa imebadili inajiita MYSOL,mwakani 2023 itajiita CHAUSIKUSOL,ni Kampuni ya KITAPELI tuMIMI NAWATUMIA NAKARBIA MWAKA,BIDHAA ZAO NI ORIJINO KWANZA BETRY ZAO ZINA CIRCUIT BREAKER,CHARGE CONTROLLER PIA POTS ZA USB KWAAJIL YA KUCHAJIA SIM NK.WAKO VIZURI SOLAR ZAO NI FASTA KUCHAJI.NMEWAI KUKOSEA NAMBA YA MALPO WAKANSAIDIA IKAWA POA,KUHUSU UTAPEL HUENDA KUNA PROCESS HUKUFUATA COZ MPK HUTOA MKATABA
Mimi ni mteja wa Mysol na ninapata huduma kwa wakati kabisa, tena wana namba yao kupiga ni bure kabisa. Phone: 0800 75 5000Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nililipia Tsh.183,000 tarehe 3 Novemba mwaka huu kama malipo ya awali ili wanifungie Sola ya Watt 120 hapa nyumbani kwetu Simiyu.
Leo ni tarehe 5 Disemba maana yake zimeshapita siku 32 hawajaja kunifungia na jitihada za kuwaambia wanirudishie pesa yangu zimeshindikana. Nimeenda kuripoti Kituo cha Polisi wameniambia hiyo ni Kesi ya Madai na si Jinai, naomba msaada mwenye uzoefu na hii Kampuni.
Na pia nawatahadharisha Watanzania wenzangu hasa waliyo vijijini ambako umeme bado haujafika, wajihadhari na kuigopa kampuni hii kwani ni matapeli makubwa kama ilivyo Kalyanda tu.
Maana yake polisi washakunja mpunga hapo........ Nimeenda kuripoti Kituo cha Polisi wameniambia hiyo ni Kesi ya Madai na si Jinai, naomba msaada mwenye uzoefu na hii Kampuni...
.[/B]