nimetegua shingo

nimetegua shingo

Jipake Mafuta ya zaituni kwenye shingo yako. kisha Weka mkono wako juu ya sehemu inayokuuma na kisha useme maneno haya

''Kwa jina la Mwenyeezi Mungu'' Sema hivyo mara 3

Kisha Sema hivi mara 7 .
Najilinda kwa Mwenyezi Mungu na kwa uwezo wake kutokana na shari ya ninachokisikia na ninachokiogopa”

Soma na pakaa hiyo Dawa kutwa mara 3 kwa muda wa siku 3 kisha unipe Feedback.
 
Back
Top Bottom