Jipake Mafuta ya zaituni kwenye shingo yako. kisha Weka mkono wako juu ya sehemu inayokuuma na kisha useme maneno haya
''Kwa jina la Mwenyeezi Mungu'' Sema hivyo mara 3
Kisha Sema hivi mara 7 . Najilinda kwa Mwenyezi Mungu na kwa uwezo wake kutokana na shari ya ninachokisikia na ninachokiogopa
Soma na pakaa hiyo Dawa kutwa mara 3 kwa muda wa siku 3 kisha unipe Feedback.