kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Tangu tarehe 26 nimeanza kuwa na dalili zifuatazo;
.Kuumwa kichwa
.Kukosa hamu ya kula
.Homa kali natetemeka sana
.Nakuwa nahisi mishipa ya upande wa kushoto kwenye moyo inakaza japo kwa mbali
Nimeenda hospitali nimepima malaria, typhod na UTI ila sijabaini ugonjwa wowote kati ya hayo. Najua huku kuna madaktari wenye taaluma.
Naomba tusaidiane.