kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Asali na ndimu changanya kwenye maji ya moto kwa uwiano huu maji robo lita, asali vijiko 3-5, na nusu ndimu mara 2 kwa siku... Unaweza pia kuongeza na kitunguu saumuTangu tar 26 nimeanza kuwa na dalili zifuatazo
.Kuumwa kichwa
.Kukosa hamu ya kula
.Homa kali natetemeka sana
.Nakuwa nahis mishipa ya upande wa kushoto kwenye moyo inakaza japo kwa mbali
Nimeenda hospital nmepima malaria, typhod na UTI ila sijabaini ugonjwa wowote kati ya hayo. Najua huku Kuna madaktari wenye taaluma.
naomba tusaidiane.
Mkuu, nafikiri Total blood cell count, inajumuisha pia White blood cell count. ..ndo maana kuna term moja tu Full Blood Picture (FBP). Hata huo uwingi wa damu utaukuta (haemoglobin)Matatizo yako yako kwenye circulation system.
Pima
1. Blood count
2. White blood cell count
Kunywa angalau lita mbili za maji kwa siku.
Asante mkuuMatatizo yako yako kwenye circulation system.
Pima
1. Blood count
2. White blood cell count
Kunywa angalau lita mbili za maji kwa siku.
Asante Mshana. Nitakuwa sikutanii tenaAsali na ndimu changanya kwenye maji ya moto kwa uwiano huu maji robo lita, asali vijiko 3-5, na nusu ndimu mara 2 kwa siku... Unaweza pia kuongeza na kitunguu saumu
Wakati wa kuoga ogea maji yalichanganywa na chumvi... Fanya hivyo kwa wiki moja
Ni kweliMkuu, nafikiri Total blood cell count, inajumuisha pia White blood cell count. ..ndo maana kuna term moja tu Full Blood Picture (FBP). Hata huo uwingi wa damu utaukuta (haemoglobin)
Asante sana Dada yangu. Naomba unitoe tongotongo unifafanulie kuhusu blood count Dada yangu.Matatizo yako yako kwenye circulation system.
Pima
1. Blood count
2. White blood cell count
Kunywa angalau lita mbili za maji kwa siku.
Ndio mwisho wao wa kufikiri ulipofikia plus kufanya kazi kwa mazoeaHivi kwanini Hospitali/Maabara nyingi huwa wanapenda/wamekariri kupima uti, typhod na malaria?
FBC au Full Blood Count itamuwezesha daktari anaekutibu kujua hali ya cells zako mwilini. Cell kwa Kiswahili ni chembe hai.Asante sana Dada yangu. Naomba unitoe tongotongo unifafanulie kuhusu blood count Dada yangu.
Tangu tarehe 26 nimeanza kuwa na dalili zifuatazo;
.Kuumwa kichwa
.Kukosa hamu ya kula
.Homa kali natetemeka sana
.Nakuwa nahisi mishipa ya upande wa kushoto kwenye moyo inakaza japo kwa mbali
Nimeenda hospitali nimepima malaria, typhod na UTI ila sijabaini ugonjwa wowote kati ya hayo. Najua huku kuna madaktari wenye taaluma.
Naomba tusaidiane.
Dah.! ulienda hospitali au kimaabara cha mtaani? Kwa dalili ulizotaja hivyo vipimo vilivyofanyika havitoshi kabisaTangu tarehe 26 nimeanza kuwa na dalili zifuatazo;
.Kuumwa kichwa
.Kukosa hamu ya kula
.Homa kali natetemeka sana
.Nakuwa nahisi mishipa ya upande wa kushoto kwenye moyo inakaza japo kwa mbali
Nimeenda hospitali nimepima malaria, typhod na UTI ila sijabaini ugonjwa wowote kati ya hayo. Najua huku kuna madaktari wenye taaluma.
Naomba tusaidiane.
Wanakua hawajui wanachofanya, yani hawaelewi kua vipimo hua vinaendana na differential ulizo nazo.Hivi kwanini Hospitali/Maabara nyingi huwa wanapenda/wamekariri kupima uti, typhod na malaria?
Yaani ukienda lazima wakupime hivi. Na UTI imrkuwa fasheni, ukiambiwa hauna wewe una bahati hata kama kweli hauna.Hivi kwanini Hospitali/Maabara nyingi huwa wanapenda/wamekariri kupima uti, typhod na malaria?
''Mucus is the Cause of Every Disease. Eliminate the Mucus and You Eliminate Disease''Tangu tarehe 26 nimeanza kuwa na dalili zifuatazo;
.Kuumwa kichwa
.Kukosa hamu ya kula
.Homa kali natetemeka sana
.Nakuwa nahisi mishipa ya upande wa kushoto kwenye moyo inakaza japo kwa mbali
Nimeenda hospitali nimepima malaria, typhod na UTI ila sijabaini ugonjwa wowote kati ya hayo. Najua huku kuna madaktari wenye taaluma.
Naomba tusaidiane.
Mkuu mchaichai, mpera na mkomamanga una siri gani!?!?''Mucus is the Cause of Every Disease. Eliminate the Mucus and You Eliminate Disease''
Kamalize Vipimo vyote ulivyo ambiwa na Wadau humu ndani ukiwa bado haujapona nitafute nipate kukutibia ili uweze kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au bonyeza hapa.Mzizi Mkavu