Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Habari zenu ndugu zangu,
Nimekua nikipata misusuko kwenye mahusiano na mke wangu huyu hii imekua too much, mke wangu alifiwa na baba yake tukaenda msibani, nyumba tukamwachia dada wa kazi, baada ya mazishi mimi nikarudi nyumbani, tumekaa siku tatu siku ya nne nikashindwa uvumilivu kama ile nyimbo ya Keisha nilirudi usiku nikiwa nishapiga tungi kidogo.
Basi usiku huo kulikua na mvua nikashindwa kabisa kulala nikamfata chumbani kwake alikokua kalala na mwanangu mkubwa wa miaka 5 nikamshtua nikamwambia njoo chumbani akaja baada ya dk 5 kilichoendelea sijui.
Sasa huyu mpuuzi kesho yake akaanza kiburi anamjibu mke wangu vibaya kwenye simu mara amwambie sitaki kazi za ndani tena baada ya mke wangu kurejea amembananisha mpaka kasema nimekula mzigo.
Toka juzi mke wangu hali yake imebadilika presha ilipanda, nikabeba kupeleka hosptali najuta mimi kwa upuuzi niliofanya.