Nimetembea na shem pasipo kujua

Nimetembea na shem pasipo kujua

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
 
mkuu umeeleza juu juu sana kwa mtu kuweza shauri lolote
 
duh sometimes ukiingia JF unakuta mada km upo kwenye kipindi cha jerry springer, full mix up
 
Unataka tukushauri nini wakati huyo kaka yako hana taki miliki kwa huyo demu? Kwa picha ya juujuu kama ulivyoiweka wewe ndio uliyeshika mpini nakaka yako kashika makali!
 
mkuu umeeleza juu juu sana kwa mtu kuweza shauri lolote
Ni kwamba nilikuwa ugenini, nikakutana na mdada ambaye niliona kama niliwahi kuonana naye Tz, wakati tunaongea akanambia ametokea jijini Dar, nami nikamwambia nilikotokea kuwa ni Mz, wakati wa maongezi marefu ndo kanambia kuwa anahitaji kupata sehemu ya kupumzika, nikamkaribisha hotelini nilikofikia. Mambo yakaendelea kama kawaida nikimwita mpenzi. Siku ya siku Bro akakumbana na namba yangu kwenye siku yake, akamhoji alipataje namba yangu - binti akajikanyaga. Bro aliponipigia mimi na kunihoji kuhusu binti huyo nikamwambia ukweli kuwa ni mchumba wangu. Sasa Bro tayari ana mtoto mmoja na huyo binti na anamtishia kumuacha, binti analalamika kuwa nimemwalibia maisha. Haya nipeni ushauri.
 
hapa story imekaa vyema...tatizo si wewe kumchapia kaka yako ila inaonekana nyie ni wasiri sana...itabidi mkae chini myamalize na kaka yako.
 
Tuyamalize vipi? Mimi niache kutembea na huyo bibie au? Kiukweli nampenda na ndo maana Bro aliponiuliza sikumficha, sasa yeye ndo ananiwakia wakati sijafanya hivyo nikiwa najua
 
sikulaumu kwani hukujua,ila namlaumu huyo binti na huyo kaka yako,haridhiki?kutwa kuchovya chovya tu.juu ya yote bado unampenda huyo dada?hujui kama sio muaminifu?na wewe mwenyewe umesema huyo binti anasema,umeshamuharibia maisha.jibu tayari lipo wazi,hakufai.kupenda huko kupenda gani jamani?au upo tayari ku share?huyo binti kakuingiza kimtego,na wewe umenasa.na pengine wapo na wengine,gutuka kaka.samahani sana natamani nikufinye,usiwe kipofu wa mapenzi kiasi hicho
 
nifinye mimi tafadhali lol
 
dahhhh

kwa hiyo kaka yako anamke
halafu ana nyumba ndogo..
wewe na kaka mnachangia
nyumba ndogo ...dahhh

kazi kweli kweli ......
 
Jibu ni rahisi tu. Wewe na huyo kaka yako kapimeni ngoma, mkiwa -veFanyeni party na mkubaliane wote kumuacha huyo dada atamaliza ukoo.Mawazo yangu tu.
 
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
Kapime afya! Ogopa mtandao wa Ngoma, mtamaliza kaukoo shauri zenu!
 
Ni kwamba nilikuwa ugenini, nikakutana na mdada ambaye niliona kama niliwahi kuonana naye Tz, wakati tunaongea akanambia ametokea jijini Dar, nami nikamwambia nilikotokea kuwa ni Mz, wakati wa maongezi marefu ndo kanambia kuwa anahitaji kupata sehemu ya kupumzika, nikamkaribisha hotelini nilikofikia. Mambo yakaendelea kama kawaida nikimwita mpenzi. Siku ya siku Bro akakumbana na namba yangu kwenye siku yake, akamhoji alipataje namba yangu - binti akajikanyaga. Bro aliponipigia mimi na kunihoji kuhusu binti huyo nikamwambia ukweli kuwa ni mchumba wangu. Sasa Bro tayari ana mtoto mmoja na huyo binti na anamtishia kumuacha, binti analalamika kuwa nimemwalibia maisha. Haya nipeni ushauri.

Kwa mtindo huu Tanzania bila ukimwi inawezekana kweli?
 
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?

endeleanaye tu kama ni ngoma tayari unayo maana huyo binti namfahamu sana tabia zake. tatizo wewe na kaka yako wote malaya
 
Back
Top Bottom