Ni kwamba nilikuwa ugenini, nikakutana na mdada ambaye niliona kama niliwahi kuonana naye Tz, wakati tunaongea akanambia ametokea jijini Dar, nami nikamwambia nilikotokea kuwa ni Mz, wakati wa maongezi marefu ndo kanambia kuwa anahitaji kupata sehemu ya kupumzika, nikamkaribisha hotelini nilikofikia. Mambo yakaendelea kama kawaida nikimwita mpenzi. Siku ya siku Bro akakumbana na namba yangu kwenye siku yake, akamhoji alipataje namba yangu - binti akajikanyaga. Bro aliponipigia mimi na kunihoji kuhusu binti huyo nikamwambia ukweli kuwa ni mchumba wangu. Sasa Bro tayari ana mtoto mmoja na huyo binti na anamtishia kumuacha, binti analalamika kuwa nimemwalibia maisha. Haya nipeni ushauri.mkuu umeeleza juu juu sana kwa mtu kuweza shauri lolote
Ni kwamba nilikuwa ugenini, nikakutana na mdada ambaye niliona kama niliwahi kuonana naye Tz, wakati tunaongea akanambia ametokea jijini Dar, nami nikamwambia nilikotokea kuwa ni Mz, wakati wa maongezi marefu ndo kanambia kuwa anahitaji kupata sehemu ya kupumzika, nikamkaribisha hotelini nilikofikia. Mambo yakaendelea kama kawaida nikimwita mpenzi. Siku ya siku Bro akakumbana na namba yangu kwenye siku yake, akamhoji alipataje namba yangu - binti akajikanyaga. Bro aliponipigia mimi na kunihoji kuhusu binti huyo nikamwambia ukweli kuwa ni mchumba wangu. Sasa Bro tayari ana mtoto mmoja na huyo binti na anamtishia kumuacha, binti analalamika kuwa nimemwalibia maisha. Haya nipeni ushauri.
hapa story imekaa vyema...tatizo si wewe kumchapia kaka yako ila inaonekana nyie ni wasiri sana...itabidi mkae chini myamalize na kaka yako.
sikulaumu kwani hukujua,ila namlaumu huyo binti na huyo kaka yako,haridhiki?kutwa kuchovya chovya tu.juu ya yote bado unampenda huyo dada?hujui kama sio muaminifu?na wewe mwenyewe umesema huyo binti anasema,umeshamuharibia maisha.jibu tayari lipo wazi,hakufai.kupenda huko kupenda gani jamani?au upo tayari ku share?huyo binti kakuingiza kimtego,na wewe umenasa.na pengine wapo na wengine,gutuka kaka.samahani sana natamani nikufinye,usiwe kipofu wa mapenzi kiasi hicho
sawa bwana the boss,usije ukanilaumu nikikufinya,maana mpaka niache alamanifinye mimi tafadhali lol
Kapime afya! Ogopa mtandao wa Ngoma, mtamaliza kaukoo shauri zenu!Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
Ni kwamba nilikuwa ugenini, nikakutana na mdada ambaye niliona kama niliwahi kuonana naye Tz, wakati tunaongea akanambia ametokea jijini Dar, nami nikamwambia nilikotokea kuwa ni Mz, wakati wa maongezi marefu ndo kanambia kuwa anahitaji kupata sehemu ya kupumzika, nikamkaribisha hotelini nilikofikia. Mambo yakaendelea kama kawaida nikimwita mpenzi. Siku ya siku Bro akakumbana na namba yangu kwenye siku yake, akamhoji alipataje namba yangu - binti akajikanyaga. Bro aliponipigia mimi na kunihoji kuhusu binti huyo nikamwambia ukweli kuwa ni mchumba wangu. Sasa Bro tayari ana mtoto mmoja na huyo binti na anamtishia kumuacha, binti analalamika kuwa nimemwalibia maisha. Haya nipeni ushauri.
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?