Pole sana,lakini huyo mwanamke sie kabisa sababu ikiwa ww hukujua je huyo mwanamke hakujua kama ana mwanamme mwengine?
au hukuwahi kumuliza kama anamwanamme mwengine na walishamalizana au bado? ukisema unampenda yani keshakuchanganyeni kama unawangano bado unasema unampenda,mwenzetu umepewa nini ulokua hjawahi kupewa mpaka ukawa mpofu kiasi hicho? chamsingi nikuachana nae uanze mbele kama amawachanganya na kaka yako umejua kesho atakuchanganya na rafiki yako,huyo mwanamke keshakua kiti cha sinema anae kuja anampisha,chamsingi angalia maisha yako usigombane na kaka yako eti kisa mwanamke usifanye,wanasema kizuri kula na nduguyo.