Mh! wewe nawe kuna wengine ni mouth concrete anasubiri kuanzwa yeye, sasa ikitokea hiyo nafasi na ukame ni mkubwa si ndo mtu anaona hawezi kulaza damu?Jamani wanaume jifunzeni basi hata kidogo kuwa Expensive.. yaani mko soooo cheap!! Imagine dada kakubeep tu kidogo hana sehemu ya kupumzika ushakaribisha hadi hotelini mwee.. Badilikieni bana mnaboa!
Kwa mtindo huu Tanzania bila ukimwi inawezekana kweli?
Malezi yanatofautiana!
Ni kawaida sana wewe jaribu kufuatilia watoto wanaozaliwa katika nyumba ambazo wazazi au walezi wao wanauzia pombe za kienyeji, bila shaka utakubaliana na mimi kuwa malezi ni kitu muhimu sana!Kwahiyo unataka kuniambia kuwa kuna familia ambazo mambo kama haya ni ya kawaida Gazeti?
Mkubwa hapa umeua na kumaliza kabisa ushauri hakuna mwingine wa kumpa tena huyu jamaaNenda nyumbani kwake ukamwombe mkewe akuombee msamaha kwa kitendo ulichofanya na kama una mke itapendeza mkiongozana ili mkamalize hii issue kwa usalama zaidi.