Jinsi nilivyo:-
Urefu 5'8
Rangi Maji ya kunde
Tabia Mchangamfu wastani.
Kpato Wastani sana yaani.
-
Ushamtaka[emoji23][emoji23]Picha?
Ushamtaka[emoji23][emoji23]
Nataka niwe mchumba wa 30 kwa huu mwaka
Mwaka una wiki 34 wewe umezitumis wikendi 29 tu na bado ukapumzika wiki kama 4.Naoona upo vizuri ila ongeza juhudi ili kila wiki angalau kuwe na mwanamke mmoja