Pre GE2025 Nimetembelea Ofisi za CCM Arusha na Makumbusho ya Azimio la Arusha, Chadema Wana Nafasi ndogo Uchaguzi wa 2025!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha

Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga

Ahsanteni Sana CCM Arusha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mlale Unono
 
Watu wa huko Arusha wana uelewa wa mambo, hakuna uwezekano wa kikichagua hicho chama eti kisa kinamiliki hayo majengo yaliyochakaa.
 
Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha

Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga

Ahsanteni Sana CCM Arusha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mlale Unono
Arusha sio DODOMA we shangazi yangu!!
 
Mwanajumuiya Ha ha ha utakuwa umekutana na mtoto wa Duma ukajuwa ni wa fisi

Arusha kama Kajiado....
 
Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha

Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga

Ahsanteni Sana CCM Arusha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mlale Unono
Nasikia ccm wanagawa asali maziwa kama enzi za Musa na Wana wa Israeli, huko A town.

hata ule mgomo wa wafanyabiashara haukuwepo huko

Matatizo ya Wana A town hayahusu ccm watapeta tu
 
Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha

Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga

Ahsanteni Sana CCM Arusha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mlale Unono
Wee chawa umetembelea ofisi za CCM sasa ulitegemea uone nini zaidi ya walamba miguu ya Bibi wa Kizimkazi?
 
Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha

Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga

Ahsanteni Sana CCM Arusha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mlale Unono
Tumia elimu yako kuwasaidia wengine kwa kuelewa na kujikwamua kutoka kwenye ujinga.
Elimu haina vyama.
Tuwaelimishe wote.
Tuwaoneshe kwamba tupo juu zaidi kwa mustakabali mwema wa taifa.
Tanzania ni zaidi ya CCM na CHADEMA.
 
Back
Top Bottom