johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Muda huu Umeme umekatika ila nitamuona baadae keshoMsalimie Makonda mwambie agombee hapo Arusha
USSR
Tangu tukiwa TYL na Mbowe πKwenye siasa una umri gani?
Mwambie huyo chawa kuwa 2020 kama sio yule kenge alitumia mtutu wa bunduki nchi nzima angezimia! Shenzi type!CCM - (dola na Tume) = CHAUMA
Kesho nitakuwa Moshi πMwambie huyo chawa kuwa 2020 kama sio yule kenge alitumia mtutu wa bunduki nchi nzima angezimia! Shenzi type!
Watu wa huko Arusha wana uelewa wa mambo, hakuna uwezekano wa kikichagua hicho chama eti kisa kinamiliki hayo majengo yaliyochakaa.Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha
Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga
Ahsanteni Sana CCM Arusha ππ
Mlale Unono
Arusha sio DODOMA we shangazi yangu!!Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha
Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga
Ahsanteni Sana CCM Arusha ππ
Mlale Unono
Nasikia ccm wanagawa asali maziwa kama enzi za Musa na Wana wa Israeli, huko A town.Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha
Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga
Ahsanteni Sana CCM Arusha ππ
Mlale Unono
Wee chawa umetembelea ofisi za CCM sasa ulitegemea uone nini zaidi ya walamba miguu ya Bibi wa Kizimkazi?Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha
Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga
Ahsanteni Sana CCM Arusha ππ
Mlale Unono
Tumia elimu yako kuwasaidia wengine kwa kuelewa na kujikwamua kutoka kwenye ujinga.Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha
Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga
Ahsanteni Sana CCM Arusha ππ
Mlale Unono