Nimetembelea Songea nimekutana na Majina Yao ya asili (kingoni)

Nimetembelea Songea nimekutana na Majina Yao ya asili (kingoni)

kwaku the traveler

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
218
Reaction score
586
Nipo Songea katika pita pita zangu nimekutana na Majina haya;
Mzee Nguruwe
Mzee Ngonyani
Mzee Simba
Mzee Tembo
Mzee Nyoni
Mzee Ngiri
Mzee KOMBA
Tausi huyu Binti wa kike
Wenyeji wa Songea kama nimeyasahau mengine shusha hapo
 
Mwarabu ndo aliua majina ya kibantu sehemu zote alizopita

Watu wote wanaitwa majina ya mababu wa kiarabu hemedi abdalah juma husen nk
 
Hayo ni baadhi endelea kuzunguka utakutana na
  1. Katembo
  2. Mbawala
  3. Nyoka
  4. Sungura
  5. Mamba
  6. Mapunda
  7. Mbega
  8. Ndezi
  9. Nguchiro
  10. Mbogo
  11. Sude
 
Hayo ni baadhi endelea kuzunguka utakutana na
  1. Katembo
  2. Mbawala
  3. Nyoka
  4. Sungura
  5. Mamba
  6. Mapunda
  7. Mbega
  8. Ndezi
  9. Nguchiro
  10. Mbogo
  11. Sude
Umeongeza list nzuri Sana hii, Alafu nilisahau had mapunda hilo dah kumbe yapo mengi
 
Mwarabu ndo aliua majina ya kibantu sehemu zote alizopita

Watu wote wanaitwa majina ya mababu wa kiarabu hemedi abdalah juma husen nk
Kwahyo muarabu alipita songea akaenda hadi chunya akamalizia kigoma?
 
Mwarabu ndo aliua majina ya kibantu sehemu zote alizopita

Watu wote wanaitwa majina ya mababu wa kiarabu hemedi abdalah juma husen nk
Ya kizungu je ? Hilo Beira boy ...Jina boy ndiyo linatoka Kijijini kwenu?
 
Back
Top Bottom