kwaku the traveler
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 218
- 586
Kabisa mim nimependa hayo Majina ya kikwetu kwetuMwarabu ndo aliua majina ya kibantu sehemu zote alizopita
Watu wote wanaitwa majina ya mababu wa kiarabu hemedi abdalah juma husen nk
Hapana Mzee hilo nimeliona sehem moja Serengeti bar Kam unashuka kwenda Nmb hapoHao Nguruwe na Ngiri umewaweka kimkakati kutukwaza.
Allah akupe Qaur Thabeet.
Hayo ni baadhi endelea kuzunguka utakutana naNipo Songea katika pita pita zangu nimekutana na Majina haya;
Mzee Nguruwe
Mzee Ngonyani
Mzee Simba
Mzee Tembo
Mzee Nyoni
Mzee Ngiri
Mzee KOMBA
Tausi huyu Binti wa kike
Wenyeji wa Songea kama nimeyasahau mengine shusha hapo
Umeongeza list nzuri Sana hii, Alafu nilisahau had mapunda hilo dah kumbe yapo mengiHayo ni baadhi endelea kuzunguka utakutana na
- Katembo
- Mbawala
- Nyoka
- Sungura
- Mamba
- Mapunda
- Mbega
- Ndezi
- Nguchiro
- Mbogo
- Sude
Utalalamikiwa muda si mrefu unauharibu mweziHao Nguruwe na Ngiri umewaweka kimkakati kutukwaza.
Nguruwe wapo hadi Waislamu.Hao Nguruwe na Ngiri umewaweka kimkakati kutukwaza.
Allah akupe Qaur Thabeet.
π π πHao Nguruwe na Ngiri umewaweka kimkakati kutukwaza.
Allah akupe Qaur Thabeet.
Kwahyo muarabu alipita songea akaenda hadi chunya akamalizia kigoma?Mwarabu ndo aliua majina ya kibantu sehemu zote alizopita
Watu wote wanaitwa majina ya mababu wa kiarabu hemedi abdalah juma husen nk
Ya kizungu je ? Hilo Beira boy ...Jina boy ndiyo linatoka Kijijini kwenu?Mwarabu ndo aliua majina ya kibantu sehemu zote alizopita
Watu wote wanaitwa majina ya mababu wa kiarabu hemedi abdalah juma husen nk
Kwanini Nguruwe aende Vairo wakati tunaanza mfungo na Muda wote Alikuwa haguswi Wala kuongelewa.Nguruwe wapo hadi Waislamu.
Said Nguruwe.