Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kwa uchumi wa kati huu wa Magufuli.
Bila kupoteza muda nimeamua kubudget pesa ya sikukuu mapema kabla shetani hajaingilia kati kupitia kichwa cha chini.
Pesa ni elfu kumi na mbili tu, haiongezeki wala kupungua, mchele kilo mbili (3,000/=)
Nyama nusu 4,000/=,naunga mwenyewe Pilau na wali mweupe, viungo 3,000/=,hapa itabid ninywe na juice 1000/= then hela ya vocha (1000/=)kushinda JF mpira hautakuwepo aisee.
Nitashinda hom tu, naangalia movie ,huku naingia JF kupeluzi,
Anasa zitakupeleka wapi ndugu yangu, kaa nyumban tulia.
Christmas namaliza namna hio.