Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Achana na masherehe haya ya kubuniwa na walimwengu. ishi maisha yako mkuu.Kwa uchumi wa kati huu wa Magufuli.
Bila kupoteza muda nimeamua kubudget pesa ya sikukuu mapema kabla shetani hajaingilia kati kupitia kichwa cha chini.
Pesa ni elfu kumi na mbili tu, haiongezeki wala kupungua, mchele kilo mbili (3,000/=)
Nyama nusu 4,000/=,naunga mwenyewe Pilau na wali mweupe, viungo 3,000/=,hapa itabid ninywe na juice 1000/= then hela ya vocha (1000/=)kushinda JF mpira hautakuwepo aisee.
Nitashinda hom tu, naangalia movie ,huku naingia JF kupeluzi,
Anasa zitakupeleka wapi ndugu yangu, kaa nyumban tulia.
Christmas namaliza namna hio.
Ukipata hela je ? Kabla ya sikukuu, yaani kesho itakuwaje ?Kwa uchumi wa kati huu wa Magufuli.
Bila kupoteza muda nimeamua kubudget pesa ya sikukuu mapema kabla shetani hajaingilia kati kupitia kichwa cha chini.
Pesa ni elfu kumi na mbili tu, haiongezeki wala kupungua, mchele kilo mbili (3,000/=)
Nyama nusu 4,000/=,naunga mwenyewe Pilau na wali mweupe, viungo 3,000/=,hapa itabid ninywe na juice 1000/= then hela ya vocha (1000/=)kushinda JF mpira hautakuwepo aisee.
Nitashinda hom tu, naangalia movie ,huku naingia JF kupeluzi,
Anasa zitakupeleka wapi ndugu yangu, kaa nyumban tulia.
Christmas namaliza namna hio.
We umepigia bajeti ya familia.Jinsi ya kutumia elfu kumi na mbili (12,000 /=) kwenye Christmas
Pesa ni elfu kumi na mbili tu (12,000/=), haiongezeki wala kupungua,
mchele kilo mbili = (3,000/=)
Nyama nusu = 4,000/=,
Unaunga mwenyewe Pilau na wali mweupe hapo,
Viungo = 3,000/=,
Juice = 1000/=
Hela ya vocha = (1000/=) kuchati na ndugu na jamaa.
Usipende anasa, hazitakupeleka popote.
Anasa zitakupeleka wapi ndugu yangu, kaa nyumban tulia.
Mafuta yapo kwenye viungo hapo.Kwahyo hakuna mafuta.hakunaa kachumbari...sasa huo si wali wa kawaida tu
Umechemka..anza tena
Mkuu ukikosa hela mawazo kama haya hutawala kichwani...Usipende anasa, hazitakupeleka popote.
Anasa zitakupeleka wapi ndugu yangu, kaa nyumban tulia.
Mchele kilo mbili na juice ya buku, mbona uwiano haufanani???Jinsi ya kutumia elfu kumi na mbili (12,000 /=) kwenye Christmas
Pesa ni elfu kumi na mbili tu (12,000/=), haiongezeki wala kupungua,
mchele kilo mbili = (3,000/=)
Nyama nusu = 4,000/=,
Unaunga mwenyewe Pilau na wali mweupe hapo,
Viungo = 3,000/=,
Juice = 1000/=
Hela ya vocha = (1000/=) kuchati na ndugu na jamaa.
Usipende anasa, hazitakupeleka popote.
Anasa zitakupeleka wapi ndugu yangu, kaa nyumban tulia.
Hii bajeti inatekelezeka saaafi kabisaWe umepigia bajeti ya familia.
kwa sisi bachelor sasa.
Ugali mkubwa na nyama rost sh 3000.
Vocha sh 1000.
K-vant ndogo 4000
safari kubwa 2000(ya ku mix)
imebaki sh 2000 hapo ni chips kavu 1500 na kandoro ya 500.
Unaingia zako kulala upo vizuri kabisa na ume enjoy
Unataka wateseke kwa sherehe ya siku ngapi?Huwa nashangaa watu kuteseka kwa ajili ya sherehe ya siku moja!
Hapo toa hela ya vocha kwa ajili ya kununua mafuta ya kupikia.Jinsi ya kutumia elfu kumi na mbili (12,000 /=) kwenye Christmas