Nimetenga elfu kumi na mbili (12,000/=) ya sikukuu

Mie budget yangu ya siku hiyo ni;
1.Chakula mimi na demu wangu 12,000
2.Nauli ya boda 10,000
3. Vinywaji 63,000
4. Lodge 30,000
5. Vumbi la Congo 15,000
6. Bange 2000
7.vocha na yakutolea 20, 000
8. Kuhonga 30,000
9. Kuwalipa walinzi wawili wa muda 50,000(maana ntakuwa na mke wa mtu hivyo ni lazima niweke tahadhali ikitokea fumanizi
10. Emergency 200,000
 
Mkuu kweli hali ni mbaya tupeane uzoefu hapa nami nataka nitengeneze bajeti yangu.

ki wastani kilo moja ya mchele wanamaliza watu wa ngapi?
Pia kilo moja ya nyama inatosha watu wa ngapi?
 
Mkuu kweli hali ni mbaya tupeane uzoefu hapa nami nataka nitengeneze bajeti yangu.

ki wastani kilo moja ya mchele wanamaliza watu wa ngapi?
Pia kilo moja ya nyama inatosha watu wa ngapi?
Watu wanne wanamaliza pilau kilo moja mkuu

Weka vitu vyako sawa tu, ukiwa mwenyew unakula mpaka basi
 
Hii budget kwa mtanzania wa kawaida haiwezi Mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Achana na masherehe haya ya kubuniwa na walimwengu. ishi maisha yako mkuu.
BTW kabajeti kamekaa poa. huku kwetu hiyo 3,000 ya mchele unapata kilo 3 na chenji inabaki
Kweli mkuu, lakin wacha tuenjoy hii sikuku namna hio [emoji16]
 
Mkuu kweli hali ni mbaya tupeane uzoefu hapa nami nataka nitengeneze bajeti yangu.

ki wastani kilo moja ya mchele wanamaliza watu wa ngapi?
Pia kilo moja ya nyama inatosha watu wa ngapi?
Kilo 1 ya mchele wanakula watu wanne, nyama inatakiwa iwe nyingi, Nusu kilo watagombea finyango, sijui mtoa mada yuko na nani !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…