Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne


Hizo stake ni balaa
 
Mkuu Wall street msimu wa ligi kuu unaanza rasmi leo kwa Liverpool na Norwich City kufungua pazia la ligi. Tafadhali usisahau kuendelea kutupia tips hapa. Kumbuka sote adui yetu ni mmoja tu---Kanjibai. Aluta continua.
Aje kule kwenye uzi wetu pendwa.
 
Dogo naona umetoka kupakatwa unaongea shombo tu
Mimi huwa nabeti jackpot ya sport pesa tu basi..

Ukisikia mtu kapiga ile mil 700 ujue ni mimi uje nikupe kazi ya kuogesha zizi la mbuzi
 
Acha ujinga
 
Kumbuka betting siyo ajira mkuu

Kila LA kher
 
Kweli hii kitu unahitaji ustarabu na strategi nzuri. Mimi hua nikianza hua naanza vizuri yaani nacheza Always conners zenye odds kuanzia 1.9 kwenda juu, Na ninaweza zalisha hizo hela nilionanzia hadi mara kummi au 20. Tatizo langu kubwa ni kwamba niki loosw mara mbili au tatu basi nachanganyikiwa mwisho Wake najiwekea tu bila kuingalia game vizuri hapo ndipo ninapoliwa kila kitu.
 

Swala la betting bana ni akili ndogo sana, wanaoijua wanashinda kila mara , option a uhakika wengi hawazijui na hapo ndo wanaliwa mpaka wanatosha kwa kufuata direct win
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…