Nimetengeneza Web App kwa Flutter

Nimetengeneza Web App kwa Flutter

African Geek

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
817
Reaction score
1,470
Nimetengeneza Web Application ya majaribio kwa kutumia Flutter na nimei deploy kwenye platform ya Vercel. Link hapa chini.. ๐Ÿ‘‡

Bonyeza Link ๐Ÿ‘‰ ๐Ÿ‘‰ ๐Ÿ”— FITNESS APP

Ukiifungua itakuja pop up inayokupa option ya kuinstall kama app ambapo itatengeneza icon kwenye home screen yako na utaweza kuiaccess kama app zingine.

Kwa sasa sijaifanya kuwa responsive kwa screen zote. Kama utaifungua kutumia simu basi itaonekana vizuri. Kama utaifungua kwa screen kubwa inayozidi simu basi utapata muonekano tofauti.


MAONI YENU..
 
Back
Top Bottom