Ukiifungua itakuja pop up inayokupa option ya kuinstall kama app ambapo itatengeneza icon kwenye home screen yako na utaweza kuiaccess kama app zingine.
Kwa sasa sijaifanya kuwa responsive kwa screen zote. Kama utaifungua kutumia simu basi itaonekana vizuri. Kama utaifungua kwa screen kubwa inayozidi simu basi utapata muonekano tofauti.