Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi, nimeambiwa hatutaweza kunufuika na mfuko wa PSSSF. Ni kweli?

Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi, nimeambiwa hatutaweza kunufuika na mfuko wa PSSSF. Ni kweli?

A

Anonymous

Guest
Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi wa Mali za mama mzazi, nilipofuatilia mafao yake (PSSF) nilijibiwa ya kuwa kama ameshapokea fao lake kustaafu pamoja na fedha za kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kustaafu basi sisi watoto hatutoweza kunufaika na mfuko huo.

Kinachonishangaza ni kuwa nilishajaza fomu zao (PSSF) na kumpa mwajiri wa marehemu mama yangu ili aziwasilishe kwa PSSF! Ndipo nikapewa jibu la kutonufaika.

Soma Pia:
Je, nini takwa la kisheria na je hapa hakuna ulakini kweli?
 
Ilikua nzuri ile umestaafu unakatiwa kibunda chako chote
 
Wapo sahihi,angekuwa amefariki haijazidi miaka hiyo ungeambulia
 
Back
Top Bottom