NakaziaCamera ipo kwenye tecno bana
Sony>>>>>>>>Nlikuwa natumia Google pixel 3, nikachukua iphone 14 pro max aloo , camera ya Google pixel bado ni balaa, Iphone camera yake inahitaji sana mwanga ili itoe picha nzuri ila google pixel ni hapo hapo sehem yoyote kambi iphone alichomzidi pixel ni camera yake tu kuwa na editing za kisasa ambazo unaweza edit picha hata kama mbaya ikatokea vizuri
Na ukipiga picha usiku ukitaka yenye ubora hakuna kamera ya simu ya kuifikia Google Pixel kwa kutwanga picha nzuriNimeamini yule ni mchawi wa camera
Nashindiliaaaa kabisaaaNakazia
Heee watu mshashika Iphone 15 clean used from Dubai 😃Bro nazipenda google pixel nimetumia mpaka 7pro sema kwa iphone 15 na 14 zote haisogei kwa ubora na hata S22 na S 23 inakaa mbali sana