Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Kwani haujachoka kulala mwenyewe?
Shida yangu mimi Ni moja tu nikiwa mwenyewe nakuwa na furaha Sana lakini nikiwa na mtu mwingine yeyote basi sitakiwi kuwa nae zaidi ya masaa 8 lasivyo napoteza mood ,nikipoteza mood dawa yake lazima niwe mwenyewe kwa kipindi flani hivi.

Shida nyingine Ni first priority kwenye maisha yangu Ni furaha na siwezi kuhandle stress za watu yaani ukinijia umenuna au huna furaha mbele yangu binafsi sitaki hata kuiona sura yako, nakaa mbali kabisa na kwa uzoefu wangu wanawake Ni watu wa mood swings sasa imagine mtu anaeyependa furaha akutane na mtu mwenye mastress yake nyumba moja yaan naweza hata kukuachia nyumba niende huko mbali ili mradi tu niwe na furaha. La mwisho sipendi drama tena sipendi kweli kweli.

Hofu yangu sio kuoa hofu yangu Ni nioe mtu halafu awe source ya stress, nioe mtu asiye na furaha kwahiyo MDA wote yupo busy kunikera [emoji846][emoji846][emoji846]
 
29 years old, no child, no wife, only girlfriend... 2011 nlipiga mimba mwanafunzi ikabd niifinye, 2013 nkapiga mimba mwanamke nisiemuelewa nkaifinya kwa miso, 2016 nkapiga mimba barmaid nkaifinya, 2019 nkapiga mimba my girlfriend akapata spontaneous abortion anyway sijawahi juta na mwakani lazima nioe.
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
Fanya maamuz
 
Upime kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…