Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Tayari kashaanza mkuu. Ngoja nitafute grisi, atalegea tuYuko free sana,, hana contract huyu,,, ila kwa kuwa nishaongea hivi,, basi atakukazia kishenzi [emoji23][emoji23]
1-Watoto wafike 3, nna mmoja tayari ana miaka 7 wa kiume,Hapo unaweza kuwa umekosea. Usisubiri bila malengo.
Kuoa ni kupanga uzazi.
Naomba nikuulize maswali ya ufahamu.
1. Unataka uwe na watoto wangapi? Kwa kuachana miaka mingapi? 3? 4? ...
2. Je ukiwa na miaka 60 unataka mwanao wa mwisho awe na umri gani?
Awe amemaliza chuo kikuu?
3. Je mchumba awe na umri gani?
Hii ni muhimu kwani mwanamke anafikia ukomo wa uzazi salama umri unaposogea.
Utaona kuwa sio rahisi unavyodhania kama unataka familia bora na iliyoelimika.
[emoji23]Tayari kashaanza mkuu. Ngoja nitafute grisi, atalegea tu
Mchumba awe na umri kuanzia 23-28Hapo unaweza kuwa umekosea. Usisubiri bila malengo.