Wana harakati wa JF naamini mko poa na hii wikiendi.
Leo ni mwaka sasa nimetimiza tangu niingie rasmi katika mtandao huu,
Mwanzo nilianza kufahamu huu mtandao mwaka 2012 lakini nikawa bado sijahamasika kuingia lakini nikawa nipo karibu na mitandao mingine hatimaye mwaka Jana 06 | oktoba | 17 nikajiunga rasmi na kuwa mwanachama halisi wa mtandao huu bora Tanzania,
Jamii forums pamoja na uongozi wake mzima nashukuru sana kuweza kushirikiana, kuwahamashisha, na kuwaleta watu pamoja ili kujifunza mambo mengi zaidi kupitia huu mtandao bora kabisa.
Bado nitaendelea kuwa nanyi kwa pamoja katika mtandao huu.
π π