Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 3,338
- 6,327
Hello great thinkers
Niliamua kujipa likizo isiyo na malipo kutotumia mtandao wowote wa kijamii na haya ni baadhi ya mambo niliyogundua kwa upande wangu
1. Urafiki unaotengenezwa kwenye mitandao ya kijamii umekuwa wa manufaa na faida nyingi katika kada zote za kimaisha tofauti na marafiki ambao tunakuwa nao physically.
2. Mitandao ya kijamii ina influence kubwa kwenye maisha ya binadamu nowdays. Kuna muda nilikuwa nashika simu natamani ku install app kwa sababu ya "arosto" ila ntajikaza sana na kwa hili watumiaji wengi wa JF wanapokuwa mbali na forum nahisi huwa wanapata hii feeling.
3. JamiiForums ni miongoni mwa mitandao michache Tanzania ambayo ukitumia kwa kusudio la kuanzishwa kwake basi ina faida kubwa kwenye mfumo wa kila siku wa maisha. Kipindi ambacho "nilijitenga" mbali na mitandao ya kijamii vitu vingi ambavyo nilivipata nikiwa humu vilikuwa msaada mkubwa kwenye mambo mbali mbali niliyokuwa/ninayofanya sasa na hii ni kwa baadhi yetu ambao tumekuwa Tukitumia jamii forum kama sehemu ya kupata maarifa pamoja na ujuzi mbali mbali wa maisha.
NATAMBUA MCHANGO WA KILA MEMBER NA PAMOJA NASEMA ASANTE KWENU NYOTE
NIMERUDI TENA
RememberTheName-Nelly