Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 164
Heshima Mbele,
Ni post yangu ya 2000 hapa Jamvini,furaha yangu kuu siyo kutimiza post 2000 ila ni mie kutumia muda wangu kuandika na kuchochea maendeleo ya nchi yangu Tanzania.
Nimekuwa hapa toka sept 2007 ila nimeanza kusoma hapa jamvini toka linaanza na sikuweza kuchangia mwanzoni kwa kuwa nilihisi kuwa hata usemeje serikali yetu haitasikiliza..Ila sas hivi we make the News na siye ndiyo tuliwap Mdomo Mwanahalisi na magazeti yote ambayo hayakuwa na ubavu.
Toka nimeingia hapa na kukutana na watu kama kada Mpinzani(sijui yuko wapi),FMES,Kichuguu,Mwafrika wa kike,Mzee Mwanakijiji,Mpaka kieleweke,Kitila na invisible nimeweza kufarijika sana na imenijengea uwezo mkubwa kiupeo hasa kwenye siasa.
Invisible umekuwa Msaada Mkubwa sana hapa Jamvini,nilifurahishwa sana na jitihada zako za wakti ule ukiwapo ogomvi na kina Mushi.Uliweza kusimama kidete
JF imekuwa ni sehemu ambayo siwezi kuacha kupita,Pamekuwa sehemu pangu pa kuelezea mawazo yangu kuhusu serikali.Nimeweza kusaidia kubadilisha mambo mengi na kuwafikishia baadhi ya mawziri na viongozi wa serikali mambo muhimu
katika nchi ambayo yamekuwa yakichangiwa humu.
Tukiendelea kukata ishu naendelea kuwapa moyo wa kufichua makubwa zaidi ya yale ya Buzwagi,ATCL,RDC.
Nimewez akuchangia thread 729 ambzo zilianzishwa na watu mbali mbali
Jamboforums/Jamiiforums imenipa Moyo sana kwa kulitumikia Taifa langu Tanzania kwa uwazi.
VIVA JAMIIFORUMS