Uchaguzi 2020 Nimetimiza wajibu wangu, nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa

Uchaguzi 2020 Nimetimiza wajibu wangu, nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Nikiwa mpenzi na sio mwanachama wa CHADEMA, Kwa kipindi hiki cha uchaguzi nimetimiza wajibu wangu kwa kuwaombea Kura Rais mtarajiwa Lissu na Madiwani watarajiwa wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa tarehe 28/10.

Kila kijiwe, nimefika. kuanzia vibanda umiza, vijiwe vya draft, bao, kona za bodaboda vilabu vya pombe za mataputapu, kwenye mabar, kwenye daladala kote huko nimepiga kampeni za kufa mtu.

Kama raia mpenda mabadiliko nimetimiza wajibu wangu kwa chama kipenzi changu CHADEMA.

Huku field nilikopita Mambo ni Moto. Labda rough tu zichezwe na tume kukibeba chama kikongwe hiki kilichokataliwana wananchi.

Nawewe timiza wajibu wako. Nendeni field na si kupiga debe nyuma ya keyboard. Muda ndio Sasa. Kila mmoja ana nafasi ya kukisaidia chama. Pamoja tutaweza.
 
Hongera kwa kazi nzuri Mkuu.

Mimi nimepata WASICHANA WA CCM KINDAKI NDAKI KAMA KUMI NA TANO HIVI. Nimejaribu kuwapiga sound na kuwabadilisha mawazo.

Kila siku lazima nipate wanawake wa CCM WAWILI HIVI.

hadi tarehe 28 nitakuwa nimefikisha 30
 
Back
Top Bottom