mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Sep 30, 2024 #1 Kuna kada kataka kuniharibia siku leo. Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu Nimemtimua kama mwizi Siwezi kushiriki ushirukina
Kuna kada kataka kuniharibia siku leo. Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu Nimemtimua kama mwizi Siwezi kushiriki ushirukina
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Sep 30, 2024 #2 mdukuzi said: Kuna kada kataka kuniharibia siku leo. Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu Nimemtimua kama mwizi Click to expand... Umeme upo mwenge wa Nini!?
mdukuzi said: Kuna kada kataka kuniharibia siku leo. Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu Nimemtimua kama mwizi Click to expand... Umeme upo mwenge wa Nini!?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Sep 30, 2024 #3 🤣🤣🤣🤣
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Sep 30, 2024 #4 Huo mwenge bajeti yake ikaguliwe na cag.
F Frontsmigo Senior Member Joined Sep 9, 2024 Posts 173 Reaction score 203 Sep 30, 2024 #5 mdukuzi said: Kuna kada kataka kuniharibia siku leo. Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu Nimemtimua kama mwizi Siwezi kushiriki ushirukina Click to expand... Hongera mkuu...
mdukuzi said: Kuna kada kataka kuniharibia siku leo. Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu Nimemtimua kama mwizi Siwezi kushiriki ushirukina Click to expand... Hongera mkuu...