Nimetishiwa Maisha au?...

Status
Not open for further replies.
Huyo ni mmoja wa tumbiri wanaoharibu mahindi yetu kijijini au ngiri bingwa wa kusahau.
 
Unatishiwa unaelezwa kwani wewe ni nani si mtu tu wa kawaida endelea tuone hao jamaa zako wanaokuunga mkono kama watakusaidia utakapokuwa segerea

acha vituko wana ubavu wa kunipeleka Segerea? watatangulia wao kwanza!
 

jamani hii ni ya 2006.. siyo mpya! Wakati tulipoanza hizi cheche ndio walikuwa wanakurupuka.
 
Geuka nyuma angalia upande wa kushoto kwako yupo nani?Huyo ndio hatari kwako,jihadhari!
 
Ukiwa kwenye mapambano ......upinzani kama huo ni lazima...hakuna kukata tamaa...tuko na wewe...daima katika mapambano ya fikra..na uzalendo wa kimapinduzi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…