NIMETOKA KAZIN NINA HASIRA KINYAMA.

Mkuu hivyo vyote huwa natakuwa niweze kuafford kimoja ndio at least nakua na aman kidogo,
Sasa vikiwa vyote havipo ndio kama hivo mkuu.

But nipo sawa kwa sasa.
Bosi unachanganya mada mbili kukosa ela mara ex hata hueleweki tatizo hasa ni niji pesa au mapenzi au neno la Mungu yaan unanitia hasira hadi nasonya kwa sauti

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Kama mini tu apa ndo maisha siku moja utaishi fresh tu ni mapito tu
 
Shida ya nini? Kama una smart phone, ingia google play.
Download App ya Tala, jisajili ukopeshwe sh elfu ishirini.
Download tena App ya Branch, jisajili ukopeswhe elfu ishirini.
Ghafla utajikuta una Tsh 40,000 cash.
 
Maisha ya kusubiri kipato mwisho wa mwezi ni ya kimasikini sana ..acha kazi tafuta njia yako ..

Kupangiwa kuamka ..
Kuomba ruhusa ukiumwa..

Njo kitaa tupambane chali wangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...

Hayo yote ni maisha, ipo siku yatakwisha... mjaa leo unaangaika ila kesho utapita...


Cc: mahondaw
 
Les Brow anasema "NEVER SAY YOU HAVE A BAD DAY, SAY YOU HAVE A CHARACTER BUILDING DAY",
keep going mkuu the road to success is always under construction.

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
 
kila mtu akianza kuweka matatizo yake hapa. utajiona tajiri sana.. kuna wengine wana mali na kila kitu ila hawapat mtoto.. ndoa haina furaha.. kuna mwingine ana kila kitu ila ana kibamia . mkewe anagongwa nje na watu kama sisi wenye mikasava.
kuna wengine wana makasava ila hayafanyi kazi wanahangaika kwa waganga na mitishamba ila wapi na hapo wake zao ni wakali kinoma na wapo hot wanataka dudu.
kuna wengine wengi kila mtu na matatizo yake.. kiufupi usilie lie sana wewe sali sana na shukuru Mungu ila kuwa na njaa ya kupata zaid na zaid..utafanikiwa.
 
Mzee baba pambana ya hela yote. Hata giza liwe kubwa kiasi gani asubuhi itafika tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…