Nimetoka kuichakata Usiku huu wa Manane Nyumba ya jirani

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Ni bi mdashi flani hivi wa makamo miaka kama 39 hivi niko nae kwenye mahusiano nakaa nae jirani tu na hapa kwangu japo simzingatii sana,

Ni Muda kidogo nilikuwa Sijatoboa sasa leo kama utani hivi saa tano usiku huu kanitumia meseji ya kwamba amenimisi sana,

"Of course ni muda sasa tulikuwa kama vile tumekosana baada ya yeye kusikia sikia story zangu alifanya kama kanipotozea vile"

Sasa leo mie kuona hiyo meseji yake nikaona ni kama suprise, nikaanza kuchart nae mwisho nikaomba mchezo,

Bila ubishi akatiki chap kikwazo ilikuwa eti leo ni siku yake ya hatari nimempiga maneno mawili tu akaniita nikaenda kuichapa,
Nimepiga zangu mbili za Motooo kabisa sasa hivi nimerudi zangu gheto kujilaza.

 
Sms za kujitumia kwa simu ya pili (simu ndogo) siku hizi zimekuwa ishu... ndo wanatumia waandaaji wa vichekesho vya mtindo wa chatting
Kama haumini basi
 
Mmmmmh mkuu bila kutuwekea picha hapa ukiwa umeingiza mkuyenga me binafsi siamini
 
Mkuu unaiweza vizuri pull out game??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi Jana nimeghairi shoo kwaajili ya kazi sema kesho nina shoo nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji475][emoji475][emoji475]

Sailors community[emoji911][emoji572][emoji572][emoji572]
 
Mkuu unaiweza vizuri pull out game??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ndio njia yangu pendwa la sivyo ningeshakuwa na watoto Kijiji kizima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…