Nimetoka kusikiliza wimbo wa Ney ''Shika Adabu Yako'' Magic FM muda huu, Umefunguliwa?

UngaUnga

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,724
Reaction score
1,464
ama kweli basata ni kuku au bata? msumeno usiokata! si mlisema mmefungia hii nyimbo?! studion yuko dj tass.
 
Ila tujiulize, je basata anahusikaje na redio? TCRA NDO KAZ YAO, WAO BASATA WAHANGAIKE NA MAJUKWAAA, HALAFU SHILOLE WALIISHIA NAE WAPI? MBONA ALIONEKANA KWENYE MAJUKWAA????
 
BASATA na TCRA nani anahusika na kuzuia nyimbo kupigwa Redioni ama TV?
 
BASATA walishaprove failure kwenye suala la shilole,ni kama mmbwa wa kufugwa sebureni kamwe sio kwa ajili ya ulinzi
 
Ni ujinga kufungia nyimbo tamu kama ile,ila unaiacha Asanteni kwa kuja ya - Mwana FA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…