Nimetoka. Nyumbani nikaenda kumsalimia Mkuu wa kituo cha polisi, akaishia kunishangaa.

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Nina Imani ningeenda kwa Afande Muliro kumsalimia hata chai angenipa, ila huyu OCD ndo kwanza akaishia kunishangaa.
Nimefika kwake kituoni nikajitambulisha Mimi ni mgeni wa OCD, nikafika ofisini kwake, nikajitambulisha NAITWA sifi Leo ni mgeni wako, akanipokea
Akachukua note book na karamu tayr kwa kunihoji.

Mimi nikacheka na kumwambia anipe KITABU cha wageni nisaini ili OFISI yake IWE na kumbukumbu yakuwa iliwai tembelewa na Mimi.

Akashangaa sana mwishowe akaniambia siko serious yaani naenda kumsalimia kituoni kweli ?

Hatimae, akanipa KITABU cha wageni akanipa nikasaini wakati nasaini jamaa alikuwa makini mno
Mzee nikaandika jina na kusaini address nikamtumia ya Jamii Forums, Bado afannde hakuamini macho yake, kabla sijaondoka nikamwomba tupige picha kumbukumbu akakubali.

ZINGATIO: askari msigeuze vituo vya polisi kama vituo vya kupeleka matatizo ya wananchi,tupo tusio na shida ndogo ndogo mtu akituzingua sisi tunamalizana kiume, yaani unichukulie mke wangu alafu Mimi nikuache nakutftia washua wanakukula.

Ndio maana Mimi napenda sana polisi wa Zenji, hata akikukuta wavuta bangi, utasikia" yakheee! We vuta ukimaliza uje mwenyewe kituoni"
 
Eti vuta ukimaliza uje mwenyewe 😁😁😁
 
Mkuu una bahati sana. Kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kupotezwa halafu familia yako ikaambiwa umejiteka mwenyewe ama umetekwa kwa sababu ya mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…