Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Mtoa mada sioni kama ana dharau, jiulize ni mabinti wangapi wanazalishwa na kuachwa? Nani mwenye dharau kati ya mtoa mada na hawa wanaozalisha na kuacha? Mimi naona mtoa mada ana nia nzuri tu, hapa tatizo ni baba wa huyo binti amekosa busara badala yake anatumia hasira, jiulize binti yake akiachwa atakuwa na faida gani?.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuma ile milioni moja kwa kuanza na laki 4 halafu baadae laki 5 halafu endelea kutafuta nyingine wakati ukihabgaika na kuiweka Familia yako vizuri

Magari huwa haiishi
 
Ndio maana ya Kigoma mwisho wa reli, kuna wabishi kule hatariii sana.
 
Fikra za kimasikini sana kufikiria usomeshe mtoto ili aje akusaidie, ni mawazo mgando sanaaaa!

Mtoto unamsomesha ili aondoe ujinga na aweze kujitegemea baadaye, sio uwekezaji kwamba unasubiri return!
 
Dogo kumbe una dharau? Nimekuachia mwanangu uondoke nae bure halafu unakuja kuninanga hapa jeiefu. Ulidhani sina sim ya Tachi ya kunifanya niwe humu jamvini?

Sasa Ole wako umuache binti yangu au uache kutuma hiyo milioni nne, ntachokufanya hadi ukiambiwa push lazima ujinyee..😡😡
 
Mkuu TheMnyonge uzi wako umenigusa sana, pia umenikumbusha msara wangu huko huko kigoma.

mwaka 2020 nilienda kwa kaka yangu (kigoma) kuwatembelea, nilikaa huko kwa muda mrefu kidogo (nilipata ki kazi flani station, hapakuwa mbali na kwa mama mkwe), hivyo nikawa mwenyeji, walinizoea, nikawazoea pia.

kadri siku zilivyoenda nikajikuta napendwa na mdogo wake mke wa bro wangu [emoji814] (shemeji yangu), akanitega nikategeka, nikakamatika!

mimi ni nani nimkatae mtoto mrembo namna ele?! nikawa na mahusiano nae muda mrefu (kwa siri) na mwishowe nilimpenda sana nikatamani kumuoa!!

Muda mfupi baadae nilitoka huko nikaelekea arusha na hapo ndipo walipoujua ukweli

Binti alianza kujidai kuwa mimi ni mumewe, na nikirudi kigoma anaondoka na mimi, na mengine mengi!

Bwana bwana bwana! Wazazi wakamuwakia! Wakawa mbogo!!

Wakategeshea ati siku nikirudi nipewe mke kwa lazima na faini nilipe 3M kuvunja undugu!! (nje ya mahari)

Mpaka leo sijakanyaga huko, na binti nilishamkataa!
 
Wewe jamaa boya sana. Mm nisingetoa hata hela ya mbuzi wala mkaja. Ningewadanganya naenda kutoa hela Bank then narudi zangu dar nabadili na line ya simu
 
Wewe jamaa boya sana. Mm nisingetoa hata hela ya mbuzi wala mkaja. Ningewadanganya naenda kutoa hela Bank then narudi zangu dar nabadili na line ya simu
Mzee bank unaipata masaa manane kwa bodaboda, usifanye maskhara ujue
 
Mm mahari ikiwa zaidi ya 1 m namwambia mshenga waambie basi nimeghairi kuoa.
 
Tatizo linaanzia kichwani kwa huyo baba mkwe wako. Inaonekana yeye kumsomesha huyo binti alikua anafanya uwekezaji. Anamatarajio makubwa ya kunufaika toka kwenye elimu ya mwanaye. Sasa hiyo milioni nne imekusanya mambo mengi ikiwemo ada na garama za kumsomesha binti. Wazee wa vijini hawaamini katika kumsomesha mabinti, na hapo mpaka huyo anafika chuo kwa Mzee aliona ni mafanikio na mfano Bora. Sasa hiyo kumzalisha kabla Mzee hajaona faida kwake ameona amedhalilishwa na Sasa million nne Ina faini pia . Mkwe wako ni mjinga na primitive. Jitahidi kuishinae kwa akili. Watu wa namna hiyo kuwa wazuri baadae kama akisimama kupambana jambo lako.
 
Mm mahari ikiwa zaidi ya 1 m namwambia mshenga waambie basi nimeghairi kuoa.
Mi mwenyewe siwezi fanya usenge huo. Hata laki sita tu mzozo. Bora hiyo hela nijiweke stable kiuchumi kuliko kununua ng'ombe ya kuja kuniumiza kichwa
 
Kwanini hukuwaambia.....yaani bandari inauzwa wao wamekalia kukutoza mil 5.2
 
Wape hio hela kama up0 0a kijana then wavungue usiwe na mahusian0 na0..
 
Huu ushauri utamletea jamaa matatizo, uwajui waha vizuri hasa hao wa huko vijijini haswa ni wachawi mno
Wewe sasa ndiyo mchawi. Ubaya wa Msichana ni upi? Mtu ameikacha hadi familia lakini wewe hulioni. Akamuoe huyo binti. Unaoa mwanamke ambaye anaweza kuiacha familia yake na kukufuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…