Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Kama mama mkwe hana shida na mke hana shida basi achana na huyo dingi. Ni stress tu za maisha.
 
wewe ishi na mwanamke kama mkeo. hukuoa familia. Huyo mzee atakuja kulainika na atakuwa rafiki yako mpaka utashangaa.
 
Pole sana, kwa kiasi kikubwa mambo haya siku hizi hutegemea sana uelewa wa wazazi.
Siku hizi watu naangalia zaidi maisha ya watoto wao huko wanakokwenda kuliko kuangalia mahari na mila zisizo na msingi.

Mungu aendelee kumuweka pema peponi baba mkwe wangu, alikuwa mtu mwungwana na rahimu sana!
 
Tulikwenda Manyovu Mnanila hapo kutoa mahari ila hatukutana na mbaga kama zilizomkuta mwamba hapa. Wakwe wakatupeleka mpaka mnadani Mabanda mkoa wa Makamba..sema ilikuwa ni kabla Mwigulu hajasema tuhamie huko
poa mkuu,kwahiyo uko buhigwe ?
 
Wew tunakupiga six million[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ndio napunguza sifuri mbili halafu niliyoipata ndiyo natoa. Kwani anakuja na ICU mgongoni.
 
Naelewa Hasira za Mzee zinaanzia wapi.

Umeishi na Mwanae kama mke, bila kupata kibali chake.

On top of this, mkaacha na ushahidi( mtoto) kuwa mlikuwa mnakulana vilivyo.
Leo hii unakuja kama vile hakuna kosa ulilofanya(Kimaadili).

Hapo lazima mzee asikuelewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Mzee atakuloga usipopeleka milioni 4 yake
 
Hahaha mtani mnaogopesha kwa uchawi
Hahahah huko napasikiaga tuu,nilipataga binti wa kimuha ila nilisita kudate nae na alikua ananipenda sana,na kwa maelezo yake alikua bikra ila sikutaka lawama nae
 
Uneendelea kukosa adabu, " ujinga ujinga " gani unauzungumzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…