Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Pole mwanangu! kila sehemu na utaratibu wake! Mi nishawaigi kuingia msoma bora ata wew ulienda na brother ako mi niliendaga mwenyewe kama mzimu. Sema ndo hivo niliishi na yule bibie mwishoni tukashindwana!
 
We ni muongo.

Chai.
 
Kwa kweli wazee wengi wa kigoma hasa wale wenye asili ya burundi wako hivyo,wanajivicha ndani ya kivuli cha waha.Ila wanawaharibia sana waha kwakuwafanya waonekane sio watu sahihi.Pia kuna waha wamerithi tabia hizo kwa kuwafanya watoto wa kike mtaji. Nimeishi huku Mama anaweza andaa fumanizi kwa binti yake na wakadai ulipe milion 2 kama wanajua huyu ni mtumishi. Wakijua unahera upuuzi mtupu. Hadi dogo anaandaa fumanizi na baba yake wamfumanie dada. This is kigoma welcome [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao ndio Waha, imagine umekutana na baba yake Zito kabwe
 
ULIVYOTOA VINATOSHA ILA USIACHE KUMPIGIA SIMU BABA MKWE IPO SIKU ATASHUKA NA HUTAAMINI.ILI UJENGE FAMILIA HUPASWI KUWA NA HASIRA NA WAZEE HATA KIDOGO
 
Atamloga
 
ULIVYOTOA VINATOSHA ILA USIACHE KUMPIGIA SIMU BABA MKWE IPO SIKU ATASHUKA NA HUTAAMINI.ILI UJENGE FAMILIA HUPASWI KUWA NA HASIRA NA WAZEE HATA KIDOGO
Hyu bwana pamoja na ushauri wote tulio mpatia, Kwa taarifa ni kwamba alishamrudisha binti Kwa wazazi wake na sasa yupo yupo tu
 
Stori ndefu kumbe inaisha hivi!
 
Hahahaaaa!
Kwa hiyo unamkula mtoto wao then wanakufumania?
 
ULIVYOTOA VINATOSHA ILA USIACHE KUMPIGIA SIMU BABA MKWE IPO SIKU ATASHUKA NA HUTAAMINI.ILI UJENGE FAMILIA HUPASWI KUWA NA HASIRA NA WAZEE HATA KIDOGO
Tatizo ni pale ninapoona wananikomoa kwa makusudi, n'a kwa jinsi alivyonidhalilisha SITOKAA nimpelekee hata biskuti tu
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…