Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
PAN-AFRICANISM ni mojawapo ya maneno yaliyotumiwa sana na viongozi wa Africa wenye nia nzuri ya umoja na kutaka kuwaunganisha Wafrica wote Africa na nje ya Africa bila kujali mipaka ya kijografia na mipaka ya kiukoo, kikabila, kidini, kijinsia na kadhalika!
Kwamba waafrica wote ni ndugu na mipaka hii tuliyowekewa na wakoloni ni ya kupuuzwa!
Fast forward, kadri siku zinavyosonga mbele na kila muafrica sasa akiwa huru dhidi ya hao wakoloni bado kitu ukabila na ubaguzi wa kiukooukoo vinazidi kushamiri sana na ni wazi baadhi ya koo zetu zingine haziwezi kabisa kuishi na koo zingine kwa amani.
Sasa, AJABU YA MUNGU, utamsikia mbaguzi wa waziwazi wa waafrica wenzie, muuaji mkubwa, amekazana kusema kwamba yeye ni 'PAN-AFRICANIST' na kwamba ati mipaka ya mataifa angependelea isiwepo, mtu huyohuyo ambaye hawezi kuishi kwa amani na majirani zake wa karibu kabisa kwa sababu tu ya tofauti ya koo au kabila!
Wanafiki hawa kujihusisha na pan-africanism kumeliharamisha neno hilo kwangu kiasi nikisikia wanalitamka natamani kutapika! Africa si moja, tuache unafiki!
NB: Kuna watu waliweza sana kumtumia Mwalimu Nyerere, kwa manufaa yao, na kikubwa sana walichotumia ni kuimbaimba nyimbo zake kama 'PAN-AFRICANISM' na mengineyo ili kuuteka moyo wake! ... SASA HIVI NI MCHANA KWEUPE NA KILA MTU ANAWAONA WACHAWI HAWA!
WATAUMBUKA!