Nimetokea kumpenda sana huyu dada anaitwa Angelina Jolie.

Nimetokea kumpenda sana huyu dada anaitwa Angelina Jolie.

nyonga nyonga

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
27
Reaction score
4
Imetokea roho yangu kuvutika sana kwa huyu dada, usiku kucha wakati mwingine hua nakesha namuwaza. Ivi hili ni tatizo la kumpenda huyu mtu linaweza kua limesababishwa na nini ?
 
Imetokea roho yangu kuvutika sana kwa huyu dada, usiku kucha wakati mwingine hua nakesha namuwaza. Ivi hili ni tatizo la kumpenda huyu mtu linaweza kua limesababishwa na nini ?

Limesababishwa na uroho wako.
 
Maswali mengine!!!!
Dada unamjua wewe,umempenda wewe,mlikofahamiana unakujua wewe kisha sababu ya kumpenda uje uulize jf! Kweli!!!!
 
Unaamaanisha th real angelina jolie wa brad pitt au kuna mtu humu jf.....mana km ni yule wa hollywood ur illusions ni balaa
 
Weka picha tuone:

angelina_jolie_sex-e_screensaver-28292-1.jpeg
 
an empty mind is the workshop of the devil...
Huna kazi ya kufanya unakaa masaa yote unamuwaza angelina jolie! Pole sana!
Tushapunguza nguvu kazi ya taifa
 
Kutojitambua kama umekuwa na kuacha kuwaza mambo muda mrefu yasio ya muhimu.
 
Imetokea roho yangu kuvutika sana kwa huyu dada, usiku kucha wakati mwingine hua nakesha namuwaza. Ivi hili ni tatizo la kumpenda huyu mtu linaweza kua limesababishwa na nini ?

Ndo yale yaleeee, ya Lulu kutangaza magazetini kumpenda Beiber...!!!
 
Imetokea roho yangu kuvutika sana kwa huyu dada, usiku kucha wakati mwingine hua nakesha namuwaza. Ivi hili ni tatizo la kumpenda huyu mtu linaweza kua limesababishwa na nini ?

Muombe sana Mungu akuepushe na ndoto za ajabu kama hizi.
 
Unayohaki kumpenda hyo mama kwa distance is not a kikwazo.By the way yule ni mke wa mtu haina haja ya kuangaika nae jaribu kufuta mawzo hyo kichwani mwako hyo ni shetani anahitaji kukupa shida muombe MUNGU akuongoze na akupe mwanamke mzuri kushinda hyo mke wa Brady Pitty.yakatae mawazo hyo yasiyo na tija.
 
imetokea roho yangu kuvutika sana kwa huyu dada, usiku kucha wakati mwingine hua nakesha namuwaza. ivi hili ni tatizo la kumpenda huyu mtu linaweza kua limesababishwa na nini ?
just keep dreaming....but the worst part is you have to wake up and face the reality
 
Back
Top Bottom