Nimetokea kumzimikia founder wa JF! Seriously is this normal other JF ladies!?

Status
Not open for further replies.

Alah, kummbe! Ngoja nikue haraka. Nimeshakua chapchap. Ahaaa kumbe anampenda kweli na amemwambia kimasihara lakini mwishowe anaweza ku-make kiukwelikweli eh. Max Max tukimpoteza huyu mwana JF utakuwa na la kujibu, jitokeze haraka umjibu tafadhali!
 
where is Kiranga ??????/
hii ni celebration ya kuua mfumo dume kwenye kutongoza

sasa tusubiri who is next lol
 
Last edited by a moderator:
The Boss ndo utandawazi huu, kama hatujachakachuliwa, maana ....

Tatizo sheria za demand and supply zina dictate kwamba dada kachelewa. Max anaweza kupata kesi bure.

Inabidi aanze kumtabiria Max mwingine mapema kabla hajapanda bei na kuchukuliwa.

Maana hata yule mpinga ndoa Kiranga naye anataka kuchukuliwa jumla.
 
Last edited by a moderator:


Kwa wadada sasa tuseme 'kazi ni kwao'
faida na changamoto za utandawazi....
 
Raha kweli siku izi..kupata strange Call,BBM kwa vidume wala hatuna stress tupo waChache Tz... Bado The Boss vipi patupu ??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
where is Kiranga ??????/
hii ni celebration ya kuua mfumo dume kwenye kutongoza

sasa tusubiri who is next lol

Kwenye suala hili, wanawake humu wamekuwa wakipinga mfumo dume long time mbona, hata kabla The Boss mwenyewe kufungukiwa

Hebu tueleze huwa mnajiskiaje?
 
Last edited by a moderator:
Mhhh,

Nina wasiwasi mtu anataka kwenda kutembelea Bukoba kula Matoke na ndizi..... Na ile Pombe yao nasikia inavuta sana akina dada maana unainywa kwa Mrija bila kuingiza Domo lako kwenye chombo kama Wadhungu.....

 

:biggrin1::biggrin1:
 
Last edited by a moderator:

Jamani!
 
Mmmh..! Acha kuingilia ndoa za watu wewe.
 
Nawee fanyia mimi kampeni bana. Mi nataka nami nidondokewe na mrembo nisuuze storongo yangu kiJFJF.

Ungekuwa uko singo mbona mie ningejilipua kwako nikamtaliki Paw? Ila na wewe una wake wengi sana bana, kukufanyia wewe kampeni ni presha sawa tu na kumfanyia kampeni baba rizmoko na linyinyiemu lake!
 
umejieleza vya kutosha, usihofu atakubari. Ngoja kwanza afikilie. mia
 
Utapata tu Asprin, I am a city woman, i know what i want and i want MAXXX AND ONLY MAX. No other options will be considered. all the best asprin

Kwe,kwe,kwe,kwi,kwi,kwi,kwo,kwo,kwo,teh,teh,teh,tehhhh!!
 

Bilashaka wewe jamaa ni mwanasiasa tena mkongwe tu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…