Nimetokea kumzimikia founder wa JF! Seriously is this normal other JF ladies!?

Status
Not open for further replies.
Je uko tayari kuwa mke wa pili hebu funguka zaidi.
 
Ungekuwa uko singo mbona mie ningejilipua kwako nikamtaliki Paw? Ila na wewe una wake wengi sana bana, kukufanyia wewe kampeni ni presha sawa tu na kumfanyia kampeni baba rizmoko na linyinyiemu lake!
Ayaaaaaaaaaaa! Ndio nini kuharibiana CV namna hii?

BTW: I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it
 
Hehehe! Now you should change na ujiongeze! Una wake wengi kama rais wako! Akhuu!
Ayaaaaaaaaaaa! Ndio nini kuharibiana CV namna hii?

BTW: I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it
 
Bira mwaya umefunguka. Ngoja na mimi nifunguke nimemzimikia nani. I will be back shotly.
 
Dada nakushauri uwahi kwa Kakobe, Rwakatare au Mwingira ili uombewe hilo pepo linalokusumbua. Utamzimikiaje mtu ambaye humfahamu wajihi wake kwa maana hiyo hujui kama "is your type" !!. Labda tu, nikuulize swali, je yule uliye naye anafahamu swala hili ? Sikatai kwamba mtu huwezi kumdondokea mtu, lakini mpaka uwe umemwona kwanza.
 

umefunguka mwayego!ah cha kufia nini bana?
 
Ohhh poor you its too late!!!He is happily married.
Labda uwasiliane na akina MBA maarufu kama babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaaaaa! Nimependa ulivyofunguka, ol the best, mjini vijiti kupokezana, hata mkewe akijua haina shobo, ajue tu kanzu mpya, ipo siku itakuwa mtumba na watu wataiita used! Lolest!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…