Nimetokea kumzimikia founder wa JF! Seriously is this normal other JF ladies!?

Status
Not open for further replies.
Nawee fanyia mimi kampeni bana. Mi nataka nami nidondokewe na mrembo nisuuze storongo yangu kiJFJF.

Babu na wewe umezidi bana, mjukuu akidondokewa tu na wewe unataka.....tulia bwana.
 
hayo mambo ya kuonana kwanza yameanza miaka hii, dadangu mkubwa alitafutiwa mume akiwa mdogooo, familia zilipanga tu, na walikuwa hawajuani wala hawajawahi kuonana, walikuja kuoana na wanaishi raha ya starehe mpaka leo hii! so inaweza kutokea ukafall na mtu ambaye hata hujawahi kuonana naye.
 
ila nina mashaka kama amefall in love na @maxence au amefall in love na Jamiiforums..maana mjini hapa....
kwi kwi kwi kwi, mke mwenzangu mbavu zangu! khaaaaaaaaa, mbona vijiswali tena?? hivi hubby umenionea wapi, mbona zamu yangu alale kwangu toka jana hajaja mmemfungia kwenu huko?? hebu muachieni kidogo nipatiemo mautamu
 
Duu kweli, mwekee basi picha yako yenye kumshawishi? Ama kweli wa mbili ....
 
You gotta Love JF...never boring!! :clap2:!! Hongera Lara 1 kwa kufunguka....bora umelitoa la moyoni mwana;-)
 
I see!!!
JF Kiboko lol!

 
Mmh! Wifi unanitisha! Na umemjulia wapi founder wa jf kiundani hivi? Kaka ana hii taarifa?

Hahahahaha. . .wifi mbona kila kitu kiko wazi? Kwenye sherehe ya kuwapongeza Mr & Mrs Melo kwa kujaliwa ka-Jr kakako nilienda nae.
 

Mpwa,

Hapa utaanzaisha civil war nyumbani kwa Max.........ungempa PM tu ingeokoa mengi
 
Hii ni JF inayosomwa na less than 2% ya Wabongo.
Imagine mmiliki wa Magazeti ya Global Publishers kama RISASI, WIKIENDA na mengine yanayosomwa na waswazi kibao anapendwa na wangapi!
 
Lala keshapa PM ndio maana kimyaaaaaaaaaaaaaa. Nyie endeleeni tu kumbe wahusika wameishamalizana long time
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…