Nimetokea kumzimikia founder wa JF! Seriously is this normal other JF ladies!?

Status
Not open for further replies.

hello lara 1! Hata mimi ni mdogo wa maxence so mambo yakibuma huko unaweza ukani-pm wala sitakataa kabisa and wor out koz 2mefanana kila ki2 na hata my full name is Shardcole Mello so u may see tumeshare hata surname koz yy ni maxence mello.
 
Nampenda mpenda.........................................!
 
Smile nitake radhi, nampanda hubby wangu Asprin tu! sina mwingine na haitakaa ikatokea! hata owner wa CNN simtaki, mie kwa babu tu!
Haya maneno matakatifu toka kwako nimeyamisi siku nyingi sana. Na nimeshapungua uzito. Sijui kuna pepo gani limetabaruku hapa katikati? Ntalifanyia kazi, we ngoja tu.
 
Hata mimi platozoom msisahau ni JF FOUNDER mnikumbuke katika ufalme wenu wadada wa JF (WAPYA KWA WAZAMANI).

Thanks
Wakatabahu platozoom
 
Last edited by a moderator:
Ishi! angalia post ya mahojiano amevaa pete, ndiye huyo! Ushawahi kubondwa wewe!
lakini yeye ameshakiri kuwa amesoma post zote zinazomuhusu Maxence Melo, kwa hiyo lazima anajua kama ameoa. yeye anarusha tu ndoana yake, huwezi jua, anaweza akakosa samaki akapata angalau dagaa.............. si wanasemaga if you cant get what you like, then should like what you get? all the best mamito
 
Last edited by a moderator:
Hii ni product ya BWIRU BOYS 1999,Huyu bro alikuwa ni noma sana class ,wakati huo mimi nikiwa form one.BIG UP BRO
 
@maxence anapoteza bahati hivihivi.......kweli nimeamini kuna watu wanazaliwa na mkosi
 
Umetenda tendo la kishujaa kwelikweli!Yani nakufananisha na wale waliopigana vita ya majimaji, ngoja nikufanyie utaratibu jina lako liwe miongoni mwa mashujaa wa TZ. Ila kuna kitu sijakielewa, ivi hujui kuwa huyu bwana ana mke?
 
Huyu ameoa na watoto wawili labda uwe small house kama atakubali

Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
afu bado watu wanaamini kuwa always wanaume ndio wanaotongoza wanawake.

Utasikia,

"wewe gombana na mmeo kwani amemfuata kama alivyokufuata wewe...angejua kaoa angetulia na mkewe"

Wadada wa siku hizi wanajilipua tu...hivyo wana deserve equal share ya varangati siku kikinuka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…