Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni ke au me?Aya asante
Kama ni ke njoo nikuchore buremmh...!!! Kwanz ushanitish kwanin unabagua jinsia
Mi huwa naona ni moja ya moral decay,vile vile hata upande wa kuaminiwa ni ngumu mno watu wa matatoo.80% ya wanaochota tattoo hujutia maamuzi yao baada ya miaka kadhaa kipita!
Hiyo inna sasaNina jamaa alizichora enzi za ujana wake, now analia maana hazifutiki, muda wote anavaa mashati marefu, chora zile zinazofutika kama unazipenda ukizichoka unafuta
Mambo ya Walawi 19:27 Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu. Mambo ya Walawi 19:28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.Kam uzi unavojielez nimetokea kuvutiw na tatoo na nahitaj kuchora iwe simple simple tu nilikua nahitaj kujua maeneo gan nawez kupat mchoraj mi nip kimara na gharam zake zikoje zikoje
View attachment 1930785
View attachment 1930786
View attachment 1930788